Swahili
Sorah Al-Kauther ( A River in Paradise)
Verses Number 3
إِنَّا أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ
↓ Hakika tumekupa kheri nyingi.
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ
↓ Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ الأَبْتَرُ
↑ Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.