Swahili
Sorah Al-Ikhlas ( Sincerity )
Verses Number 4
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
↓ Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
اللَّهُ الصَّمَدُ
↓ Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
↓ Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ
↑ Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.